Lois Cheche Brutus
Mandhari
Lois Cheche Brutus ni mwanasiasa wa Liberia. Alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Liberia pamoja na Shule ya Sheria ya Louis Arthur Grimes. Mwezi Juni 2007, aliteuliwa kuwa balozi nchini Afrika Kusini. Pia aliwahi kuwa mratibu wa miradi katika mpango wa USAID wa Msaada kwa Watoto (Children Assistance Program).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lois Cheche Brutus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |