Logroño
Mandhari
Logroño ni mji wa Hispania, mji mkuu wa La Rioja.
Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 151,136 [1] na kuufanya wa arubaini na mbili nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Logroño kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |