Nenda kwa yaliyomo

Liya Brooks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Liya Njeri N'Day Brooks (alizaliwa 17 Mei 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaYe anacheza kama kipa katika timu ya North Carolina Tar Heels. Alizaliwa huko nchini Marekani, lakini anaiwakilisha Jamaika kimataifa.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Brooks alianza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka minane.[1] Alihudhuria Moanalua High School huko Honolulu akiwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na wa pili, kabla ya kuhamia South Eugene High School huko Eugene, Oregon kabla ya kuanza mwaka wake wa tatu.

Maisha ya chuo

[hariri | hariri chanzo]

Brooks alicheza mechi moja kama mchezaji wa akiba katika misimu miwili akiwa na Washington State Cougars, kabla ya kuhamia North Carolina Tar Heels mwaka 2025.[2][3]

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Brooks alicheza mechi yake ya kwanza katika timu ya taifa ya wakubwa akiwa kipa dhidi ya Afrika Kusini tarehe 29 Novemba mwaka 2024, huko Montego Bay, Jamaika.[4]

  1. ↑ Mendoza, Jim (Februari 21, 2020). "Hawaii teen with a dream of becoming a soccer pro selected for elite national team". Hawaii News Now. Iliwekwa mnamo Agosti 24, 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Liya Brooks". Washington State Cougars. Iliwekwa mnamo 2025-03-17.
  3. ↑ "Liya Brooks". North Carolina Tar Heels. Iliwekwa mnamo 2025-03-17.
  4. ↑ "Busby relieved as Girlz end long, winless drought - Jamaica Observer". Desemba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liya Brooks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.