Nenda kwa yaliyomo

Little Annie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ann Robie Bandes (alizaliwa takriban mwaka c.1961), anajulikana zaidi kama Little Annie, Annie Anxiety au Annie Anxiety Bandez ni mwimbaji, mchora picha, mshairi, mwandishi, msanii wa uigizaji na kurekodi, na muigizaji wa jukwaa kutoka Marekani.[1][2][3][4][5]

  1. Strong, Martin C. (2003) The Great Indie Discography, Canongate, ISBN 1-84195-335-0, pp. 204–5
  2. Leggett, Steve "Little Annie Biography", Allmusic. Retrieved December 16, 2018
  3. Siebert, Valerie (2012) "Yonkers Honk: Annie Bandez Interviewed", The Quietus, December 9, 2012. Retrieved December 16, 2018
  4. Annie Anxiety Bandez Jakomo", The Wire, Issues 275-280, p. 149
  5. McFarlane, Dean "Jackamo Review", Allmusic. Retrieved December 16, 2018
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Little Annie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.