Nenda kwa yaliyomo

Lisandro Magallán

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lisandro Magallán (alizaliwa 27 Septemba 1993) ni mchezaji wa soka wa kitaaluma kutoka Argentina anayekipiga kama beki wa kati kwa klabu ya Vélez Sarsfield.

Alishiriki pia na timu ya taifa ya Argentina katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto mwaka 2016.[1]

  1. "Squad: Lisandro Magallán". Boca Juniors. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Desemba 2018. Iliwekwa mnamo 2 Januari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lisandro Magallán kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.