Nenda kwa yaliyomo

Lions Club International

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lions Club International (kifupi: LCI) ni klabu iliyoanzishwa mwaka 1917 katika mji wa Chicago nchini Marekani [1] kama taasisi isiyojiendesha kifaida.

Kwa sasa makao yake makuu yapo katika eneo la Oak Brook, Illinois.

Kufikia Januari mwaka 2020 taasisi hii ilikuwa na jumla ya wanachama milioni moja nukta nne, na klabu zipatazo 46,000 katika nchi zaidi ya mia mbili duniani kote [2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "History of Lions Clubs International". lions100.lionsclubs.org. Iliwekwa mnamo 2020-02-08.
  2. "Mission and History | Lions Clubs International". www.lionsclubs.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-08.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]