Lindsey Collen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lindsey Collen (Alizaliwa Mqanduli, Umtata, Transkei, Afrika Kusini, mwaka 1948) ni mwandishi wa riwaya na mwanaharakati. Alishinda tuzo za kawaida za uandishi wa kitabu bora wa Afrika miaka 1994 na 2005.

Kazi yake ilitokea katika mtaala mpya wa kimataifa, naye ni mwanachama wa Lalit de Klas.

Ndoa[hariri | hariri chanzo]

Aliolewa na Ram Seegobin. Anaishi Mauritius.

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

  • Komye fwa mo finn trap enn pikan ursen, Ledikasyon pu travayer, 1997.
  • Natir imin: Mauritian Creole & English versions, Ledikasyon pu travayer, 2000.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

  • Yvonne Vera, ed. (1999). "Enigma". Opening spaces: an anthology of contemporary African women's writing. Heinemann. 
  • Chris Brazier, ed. (2008). "Letters from Bambous". Letters from the Edge: 12 Women of the World Write Home. New Internationalist.

Kumbukumbu[hariri | hariri chanzo]

  • Felicity Hand Universitat Autonoma de Barcelona) (2010-08-26). "Literary Encyclopedia | Lindsey Collen". Litencyc.com. Retrieved 2014-08-22.
  • Commonwealth Prize. "Commonwealth Prize". Africabookclub.com. Retrieved 2014-08-22.

Canada. "Lindsey Collen - New Internationalist". Newint.org. Retrieved 2014-08-22.

  • "Lindsey Collen - International Viewpoint - online socialist magazine". International Viewpoint. Rerieved 2014-08-22.
  • "Lindsey Collen". The Feminist Press. 2014-05-03. Archived from the original on 2014-08-26. Retrieved 2014-08-22
  • "Lindsey Collen - Lindsey Collen". Bloomsbury. Retrieved 2014-08-22.
  • "Lindsey Collen - Lindsey Collen". Bloomsbury. Retrieved 2014-08-22.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lindsey Collen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.