Linda Kasenda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Linda Kasenda, ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Malawi ambaye anacheza kama mshambuliaji katika Timu ya Taifa ya wanawake ya Malawi.[1][2][3]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Na. Tarehe Uwanja Mpinzani Magoli Matokeo Mashindano
1. 5 Agosti 2019 Uwanja wa michezo wa Gelvandale,Afrika Kusini Komoro 3–0 13–0 Kombe la Wanawake la COSAFA 2019
2. 5–0
3. 6–0
4. 8–0
5. 10–0
6. 11–0
7. 12–0
8. 13–0

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Malawi women’s national team gather for Olympic qualifier". COSAFA. 15 May 2021. Iliwekwa mnamo 5 September 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Samuel Ahmadu (5 April 2019). "Temwa Chawinga scores five as Malawi decimate Mozambique". Goal. Iliwekwa mnamo 5 September 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Linda Kasenda retires from international football". Nyasa Times. 6 January 2020. Iliwekwa mnamo 5 September 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linda Kasenda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.