Lina Sagaral Reyes
Mandhari
Lina Sagaral Reyes (6 Julai 1961 - 14 Desemba 2024) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchini Ufilipino. Reyes aliwahi kushinda tuzo. Reyes pia alikuwa mshairi aliyeshinda tuzo na alitetea uwezeshaji kwa wanawake. [1]
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Reyes alizaliwa Villalimpia, Bohol na kukulia huko. Alichukua kozi za uandishi wa habari na uandishi wa ubunifu katika Chuo Kikuu cha Silliman kuanzia 1978 hadi 1983. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Guevara Morrow, Susan (1991). "Lina Sagaral Reyes: A poetics of pain and healing". Animo Repository. Iliwekwa mnamo 15 Desemba 2024.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Casocot, Ian Rosales (15 Desemba 2024). "The Spy in the Sandwich Eats the Sun: Lina Sagaral Reyes, 1961-2024". The Spy in the Sandwich Eats the Sun. Iliwekwa mnamo 15 Desemba 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lina Sagaral Reyes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |