Limbwata
Mandhari
Limbwata ni filamu inayohusu familia iliyopendwa na Mr Challa, lakini inatengana kwa aina za kishirikina alizofanyiwa Challa. Nakuuwa kabisa mapenzi ya familia yake nakwenda pasipo husika. [1]
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Mohamed Nurdin.
- Snura Mushi.
- Gelly Wa Rhymes.
- Tico Hassan.
- Sabrina Omary.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Limbwata — Bongo Movie | Tanzania". www.bongocinema.com. Iliwekwa mnamo 2025-08-30.