Lilian Awuor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lilian Onyango Awuor[1] (alizaliwa 13 Juni 1999) ni mtaalamu kama kiungo wa mpira ambae alichezea kiwango cha 1 cha Féminine upande wa ASJ Soyaux Charente kwa sasa anachezea Vihinga Queens FC na Harambee Starlets, timu ya taifa ya wanawake wa Kenya.[2][3]

Kazi kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Aliwakilisha Kenya katika kombe la Wanawake wa mataifa ya Afrika na alikuwa [[goli kipa msaidizi kwa Samantha Akinyi. Alifanya majukumu yake ya timu mwaka 2022 katika kombe la taifa na kushinda dhidi ya Sudan kusini.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Lilian Awuor kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.