Likaiu
Mandhari
Likaiu ni jina la volkeno mbili, East Likaiu na West Likaiu, zenye kimo cha mita 915 juu ya UB. Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Turkana.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya milima ya Kenya
- Orodha ya milima ya Afrika
- Orodha ya milima
- Orodha ya volkeno nchini Kenya
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Likaiu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |