Liemarvin Bonevacia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Liemarvin Bonevacia
Liemarvin Bonevacia

Liemarvin Bonevacia (alizaliwa Willemstad, Curacao, 5 Aprili 1989) ni mwanariadha wa Uholanzi.

Maisha ya kazi[hariri | hariri chanzo]

Alikuwa ni mmoja kati ya wanne walioshiriki kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto kama "mwanariadha anayejitegemea".[1][2]Bonevacia alimaliza kwenye mita 400 na alitolewa kwenye nusu fainali , alivopata majeraha kwenye mshipa wa paja la kulia na kumaliza wa mwisho.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Liemarvin BONEVACIA | Profile | World Athletics. www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.
  2. Liemarvin Bonevacia - Athletics - Olympic Athlete | London 2012. web.archive.org (2012-07-22). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-07-22. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.
  3. Olympics Site Closed | Olympics at Sports-Reference.com. www.sports-reference.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-04-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.
  4. Drama voor Bonevacia in Londen - CuracaoSPORT.com. web.archive.org (2014-05-19). Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-05-19. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.