Nenda kwa yaliyomo

Liboi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Liboi ni mji wa Kenya Mashariki. Ni kata ya kaunti ya Garissa, eneo bunge la Dadaab[1].