Nenda kwa yaliyomo

Liberata mfiadini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Liberata mfiadini (alifariki karne ya 3 hivi) alikuwa bikira wa Galia aliyefia imani ya Kikristo [1].

Kwa sababu hiyo, tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Januari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Attilio Bislenghi, Di Luce e d'Ombra. Mille anni di amore e devozione a Santa Libera, Savona, Sabatelli ed., 2003.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.