Li Keqiang
Mandhari
Li Keqiang (kwa Kichina: 李克强; amezaliwa 1 Julai 1955) ni mwanasiasa wa China ambaye ni Waziri Mkuu wa sasa wa Baraza la Jimbo la Jamhuri ya Watu wa China.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Li Keqiang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |