Nenda kwa yaliyomo

Leticia Adelaide Appiah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leticia Adelaide Appiah ni daktari wa Ghana na mtaalamu mwandamizi wa afya ya jamii pia ni mkurugenzi mtendaji wa Baraza la Taifa la Idadi ya Watu. Leticia alisoma katika shule ya upili ya Achimota.[1][2]

  1. ↑ National Population council. "EXECUTIVE DIRECTOR'S PROFILE". National Population council. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Ghana needs practical measures to slow down population growth – Dr Appiah - BusinessGhana News | General". www.businessghana.com. Iliwekwa mnamo 2018-03-31.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leticia Adelaide Appiah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.