Nenda kwa yaliyomo

Lester Atwell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lester Atwell (31 Julai 190830 Aprili 2001) alikuwa mwandishi wa riwaya, hadithi fupi, na mstaafu wa jeshi kutoka Brooklyn. Kazi zake maarufu ni Private, Love is Just Around the Corner, na Life with its Sorrow, Life with its Tear.[1]

  1. Reuben, Shelly (Mei 3, 2012). "Lester Atwell: A fine old gentleman". The Evening Sun. Iliwekwa mnamo Machi 3, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lester Atwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.