Nenda kwa yaliyomo

Leslie Nielsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nielsen mwaka 1982

Leslie William Nielsen (11 Februari 1926 - 28 Novemba 2010 ) alikuwa mwigizaji na mcheshi kutoka Canada, Marekani.[1] Akiwa na taaluma iliyochukua miaka 60, alionekana katika zaidi ya filamu 100 na programu 150 za televisheni, akionyesha zaidi ya wahusika 220.[2]

  1. "'Naked Gun,' 'Airplane' actor Leslie Nielsen dies", Technology Marketing Corporation, 2 December 2010. "'I played a lot of leaders, autocratic sorts; perhaps it was my Canadian accent', he said." 
  2. Collins, Glenn. "Mr. Nondescript Becomes a Star in 'Naked Gun'", The New York Times, 21 December 1988. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leslie Nielsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.