Nenda kwa yaliyomo

Lesego Radiakanyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lesego Radiakanyo

Lesego D. Duduetsang Radiakanyo (alizaliwa 27 Juni 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Botswana anayefuzu kama mshambuliaji katika klabu ya mpira ya Double Action na timu ya taifa ya wanawake ya Botswana.[1][2][3]

  1. "Botswana touring Slovakia ahead of Banyana clash". Samuel Ahmadu. Goal. 6 Agosti 2019. Iliwekwa mnamo 5 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Malabo King FC one step closer to CAF Women's Champions League". The Nambian. 15 Agosti 2021. Iliwekwa mnamo 5 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "COSAFA Women's Championship: Botswana name provisional squad". Kick442. 16 Oktoba 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Februari 2022. Iliwekwa mnamo 5 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lesego Radiakanyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.