Nenda kwa yaliyomo

Leopoldina dos Santos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leopoldina dos Santos alikuwa mwanasiasa kutoka Msumbiji. Mnamo mwaka 1977, alikuwa miongoni mwa kundi la wanawake wa kwanza walioteuliwa kuwa wabunge wa Bunge la Watu (People's Assembly). Dos Santos alikuwa mgombea wa chama cha FRELIMO katika uchaguzi wa bunge wa mwaka 1977, ambapo aliteuliwa kuwa mmoja wa wanawake 27 wa kwanza kuingia Bunge la Watu.</ref> in which she was one of the first group of 27 women elected to the People's Assembly.[1]

  1. Mart Martin (2000) The Almanac of Women and Minorities in World Politics, p267
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leopoldina dos Santos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.