Nenda kwa yaliyomo

Leonid Kamarovsky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leonid Alekseevich Kamarovsky (15 Machi 184612 Agosti 1912, Леонид Алексеевич Камаровский) alikuwa profesa wa sheria za kimataifa katika Chuo Kikuu cha Jimbo la Moscow. Anakisiwa kuwa miongoni mwa wanasheria wa sheria za kimataifa wa Kirusha wenye ushawishi mkubwa kabla ya mapinduzi.

Kutoka mwaka 1890 hadi 1903, alifundisha katika Lyceum ya Kifaransa ya Tsarevich Nikolai. Aidha, alifundisha katika vyuo mbalimbali vya Kirusha. Kutoka mwaka 1909 hadi 1912, alikuwa mwanachama wa duma ya jiji la Moscow.

Комаровский Л.А. 1846–1912

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • List of Russian legal historians
  • Комаровский Л.А. Об идее мира между народами (Kuhusu Wazo la Amani Kati ya Mataifa) // Русская мысль. 1884. Kih. 7.
  • Комаровский Л.А. Вопрос о международной организации (Kuhusu Shirika la Kimataifa / Umoja wa Kimataifa)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonid Kamarovsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.