Nenda kwa yaliyomo

Leonard Schleifer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leonard S. Schleifer (alizaliwa 1953) ni mfanyabiashara nchini Marekani na ndiye mwanzilishi mwenza na afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya teknolojia ya bayolojia Regeneron Pharmaceuticals.[1]Alianzisha Regeneron mwaka 1988, akaifanya kuwa ya umma mwaka 1991. Mauzo ya dawa maarufu ya Regeneron Eylea tiba ya kuzorota kwa seli za macho, yalifikia dola bilioni 5.7 nchini Marekani mwaka 2023. Regeneron ilitengeneza dawa 12 zilizoidhinishwa na FDA.[2] Kufikia 2025, utajiri wake ulikadiriwa kuwa dola bilioni 2.8.[3]

  1. ↑ Matthew Herper (Septemba 2, 2013), "How Two Guys From Queens Are Changing Drug Discovery", Forbes, iliwekwa mnamo Novemba 19, 2015{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Forbes: "Regeneron Chief Leonard Schleifer Becomes A Billionaire After 25 Year Search For New Drugs" by Matthew Herper February 25, 2014
  3. ↑ New York Times: "Paid Notice: Deaths SCHLEIFER, CHARLES BAKER December 4, 2011
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonard Schleifer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.