Leon Lederman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leon M. Lederman

Leon Max Lederman (amezaliwa 15 Julai 1922) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sehemu za atomu na kujulikana kwa kuchunguza neutrino. Mwaka wa 1988, pamoja na Melvin Schwartz na Jack Steinberger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leon Lederman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.