Nenda kwa yaliyomo

Leo Richard Smith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leo Richard Smith (31 Agosti 19059 Oktoba 1963) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Alihudumu kama askofu wa Jimbo la Ogdensburg, New York, kwa miezi mitano mwaka 1963.

Kabla ya hapo, alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo la Buffalo, New York, kuanzia 1952 hadi 1963.[1]

  1. Curtis, Georgina Pell (1961). The American Catholic Who's Who. Juz. la XIV. Grosse Pointe, Michigan: Walter Romig.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.