Nenda kwa yaliyomo

Leo Cornelio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leo Cornelio, S.V.D. (alizaliwa 14 Machi 1945) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki la India ambaye alikuwa Askofu Mkuu wa Bhopal kuanzia mwaka 2007 hadi 2021.[1] Alikuwa Askofu wa Khandwa kuanzia mwaka 1999 hadi 2007.[2]

  1. Resignations and Appointments, 04.10.2021 (Press release). Holy See Press Office. 4 October 2021. https://press.vatican.va/content/salastampa/en/bollettino/pubblico/2021/10/04/211004c.html. Retrieved 4 October 2021.
  2. "Archbishop Leo Cornelio". Union of Catholic Asian News. Iliwekwa mnamo 4 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.