Nenda kwa yaliyomo

Lenín Moreno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lenín Boltaire Moreno Garcés (amezaliwa 19 Machi 1953) ni mwanasiasa wa Ecuador ambaye ndiye Rais wa sasa wa Ecuador, madarakani tangu Mei 2017.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lenín Moreno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.