Lemogang Kwape
Mandhari
Lemogang Kwape ni mwanasiasa kutoka Botswana ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Botswana kuanzia mwaka 2020 hadi 2024 katika serikali ya Mokgweetsi Masisi. Pia alikuwa Mbunge wa Kanye South.[1]
Nafasi alizowahi kushika
[hariri | hariri chanzo]- Waziri wa Afya na Ustawi (hadi 2020)[2]
- Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (2020–2024)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hon Dr. Lemogang Kwape, Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Botswana, named APS Minister of the Week - Public Sector Magazine" (kwa American English). 2022-08-09. Iliwekwa mnamo 2026-04-11.
- ↑ "Several Batswana disappointed as Dr Kwape is dropped as Health Minister - Pula24". www.pula24.co.bw. Iliwekwa mnamo 2026-04-11.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lemogang Kwape kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |