Lela E. Buis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lela E. Buis ni mwandishi wa kubuni, mwandishi wa tamthilia, mshairi na msanii aliyezaliwa huko Middlesboro, KY.

Alihitimu kutoka Chuo kikuu cha jimbo la Florida (FSU) na taasisi ya teknolojia ya Florida, na alifanya kazi katika uhandisi kwa miaka kadhaa katika Kennedy Space Center huko Merritt Island, Florida . Kwa sasa anaishi Tennessee.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lela E. Buis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.