Leka (mwanamfalme)
Mandhari
Leka, Mwana mfalme wa Albania (Leka Skënder Zogu; 5 Aprili 1939 – 30 Novemba 2011) alikuwa mwana wa pekee wa kiume wa Mfalme Zog I na Malkia Geraldine wa Albania. Alipewa jina la Mwana mfalme Skander wakati wa kuzaliwa kwake. Baada ya kifo wa baba yake mnamo mwaka 1961, Leka alikuwa mdai wa Ufalme wa Albania (1928–39)|kiti cha ufalme cha Albania, na wafuasi wake walimwita kama Mfalme Leka I.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Queen Susan of the Albanians (obituary)". Daily Telegraph. 22 Julai 2004. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2008.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leka (mwanamfalme) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |