Leigh Ann Hester
Mandhari

Leigh Ann Hester (amezaliwa 12 Januari 1982) [1] ni askari wa Jeshi la Taifa la Akiba la Marekani (U.S. Army National Guard). Akiwa katika kikosi cha 617 cha Polisi wa Kijeshi, sehemu ya Kentucky Army National Guard kutoka Richmond, Kentucky, Hester alipokea Medali ya Nyota ya Fedha (Silver Star) kwa ushujaa wake tarehe 20 Machi 2005 wakati wa shambulio la ghafla lililofanywa na adui dhidi ya msafara wa magari ya usambazaji karibu na mji wa Salman Pak, Iraki.
Hester ndiye mwanamke wa kwanza wa Jeshi la Marekani kupokea Nyota ya Fedha tangu Vita Kuu ya Pili ya Dunia, na wa kwanza kabisa kutambuliwa kwa ujasiri katika mapigano ya karibu (close quarters combat).[2]
Kazi yake ya kijeshi
[hariri | hariri chanzo]
Hester alijiunga na Jeshi la Marekani mnamo Aprili 2001.[3]
[4]
[5]
![]()
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Free Family Tree, Genealogy and Family History - MyHeritage". www.familytreelegends.com.
- ↑ Sergeant Sara Wood. "Female Soldier receives Silver Star in Iraq". Department of Defense. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Chapter "Palm Sunday Ambush", pages 59–81 of In Contact! – Case Studies from the Long War (PDF, 167 pages)
- ↑ Complete text of Sergeant Hester's citation for conspicuous gallantry in action
- ↑ Women in the U.S. Army
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leigh Ann Hester kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |