Lee A. Piché
Mandhari
Lee Anthony Piché (alizaliwa 8 Mei 1958) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.
Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la St. Paul na Minneapolis, Minnesota, kuanzia mwaka 2009. Alijiuzulu kutoka huduma ya hadhara mwaka 2015 na kurudi tena katika huduma mwaka 2023 kama msaidizi wa mapadri waliostaafu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Wendt, Christopher (2009-05-27). "Reverend Lee Piché Named Auxiliary Bishop of Saint Paul and Minneapolis". Archdiocese of Saint Paul and Minneapolis (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-18.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |