Nenda kwa yaliyomo

Leandro de Jesus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leandro Silva De Jesus (alizaliwa 19 Novemba 1981 mjini Salvador) ni mwanasheria na mwanasiasa wa Brazil.[1] Kwa sasa anafanya kazi kama Mbunge wa Jimbo (state deputy) katika jimbo la Bahia, akiwa mwanachama wa chama cha Liberal Party (PL).

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leandro de Jesus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.