Leah Goldberg
Mandhari
Leah Goldberg au Lea Goldberg aliandika jina lake pia kwa herufi za Kilatini na kueleza: "Lea, na sio Leah". https://upload.wikimedia.org/wikipedia/he/d/da/Goldberg3.JPG</ref> 29 Mei 1911, Königsberg – 15 Januari 1970, Jerusalem) alikuwa mshairi wa lugha ya Kiebrania, mwandishi wa vitabu, mwandishi wa michezo ya kuigiza, mtafsiri wa fasihi, mchoraji wa vitabu, mchoraji wa picha,[1][2] na mtafiti wa fasihi linganishi (comparative literature).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ יהודה, הדר בן (2018-05-29). "מעשה בציירת: לאה גולדברג". הספרנים (kwa Kiebrania). Iliwekwa mnamo 2023-08-09.
- ↑ "Leah Goldberg | 8 Artworks at Auction | MutualArt". www.mutualart.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-08-09.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leah Goldberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |