Nenda kwa yaliyomo

León (Hispania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

León ni mji wa Hispania, mji mkuu wa Mkoa wa León.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 124,303 [1] na kuufanya wa hamsini na tatu nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu León (Hispania) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.