Lazare Kaptué
Mandhari
Lazare Kaptué (1939 – 12 Aprili 2021) alikuwa msomi kutoka Kamerun. Kaptué alikuwa mtaalamu mahiri wa virusi na alifanya utafiti mwingi kuhusu UKIMWI (HIV/AIDS).[1]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Kaptué alizaliwa mjini Mbanga mwaka 1939, na alihudumu kama Meya wa Demding magharibi mwa nchi ya Kamerun.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lazare KAPTUE". Osidimbea (kwa French). 28 Desemba 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lazare Kaptué kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |