Lawrence Kego Masha
Mandhari
(Elekezwa kutoka Lawrence Masha)
| Makala hii kuhusu "Lawrence Kego Masha" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Lawrence Kego Masha (amezaliwa tar. 11 Machi, 1970) alikuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Alipata kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya ndani (2006-2008), Waziri wa Mambo ya Ndani (2008-2009), Naibu Waziri wa Nishati na Madini (2006-2006). Ameuangushwa na mmoja kati ya wagombe wa CHADEMA.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Lawrence Kego Masha". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-16.
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lawrence Kego Masha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |