Laurie Holden
Mandhari
Heather Laurie Holden (amezaliwa 17 Desemba, 1969) ni mwigizaji, mtayarishaji, mwanamitindo na mwanaharakati wa haki za binadamu wa Marekani-Kanada.[1][2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Mwanzoni mwa kazi yake, Holden alijijengea jina kwa kuigiza pamoja na Burt Reynolds katika Physical Evidence (1989), Vanessa Redgrave katika Young Catherine (1991), na William Shatner katika filamu ya televisheni TekWar (TV series)|TekWar: TekLab (1994).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "This Day in Horror: Happy Birthday Laurie Holden". Dread Central (kwa American English). 2019-12-17. Iliwekwa mnamo 2022-01-22.
- ↑ Kroll, Justin (2013-09-16). "Laurie Holden, Rachel Melvin and Steve Tom Join 'Dumb and Dumber To'". Variety (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-07-18.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Laurie Holden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |