Laurence Housman
Mandhari
Laurence Housman (Julai 18, 1865 – Februari 20, 1959) alikuwa mwandishi wa tamthilia, na mchoraji picha wa Uingereza ambaye taaluma yake ilienea kutoka miaka ya 1890 hadi 1950. Alisomea sanaa London na alifanya kazi kama mchoraji picha wakati wa miaka ya kwanza ya taaluma yake, kabla ya kuhamia katika uandishi. Alikuwa mdogo wa mshairi A. E. Housman na dada yake Clemence Housman.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Laurence Housman". Britannica. Iliwekwa mnamo Machi 13, 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Laurence Housman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |