Nenda kwa yaliyomo

Laure-Anne Mukadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Laure-Anne Mukadi ni mwongozaji wa filamu na mwigizaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, aliyezaliwa mjini Kinshasa. Anacheza nafasi ya Olive Musimba katika tamthilia ya televisheni 'Coloré', akiwa sambamba na Mars Kadiombo. [1],[2] .

  1. "RDC : zoom sur ces femmes sources d'inspiration en 2020" (kwa Kifaransa). 2020-12-30. Iliwekwa mnamo 2021-08-27.
  2. "RDC : « à un moment, j'ai dû me débarrasser du regard des autres », Laure-Anne Mukadi (actrice)" (kwa Kifaransa). 2020-12-29. Iliwekwa mnamo 2021-10-01.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laure-Anne Mukadi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.