Nenda kwa yaliyomo

Lauran Bethell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lauran Bethell ni mmishonari wa Marekani wa dhehebu la Baptist[1] na mtetezi wa haki za binadamu, ambaye anaishi Ulaya Mashariki.[2]

Yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa Kituo cha New Life kilichopo Chiang Mai, Thailand, ambapo wanawake waliokuwa wahanga wa ukahaba au biashara haramu ya binadamu hupatiwa elimu yenye msingi wa Kikristo inayolenga kuwasaidia kuwa na ujuzi wa kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kujitegemea kiuchumi.[3]

Anahudumu kama Mshauri wa Kimataifa (Global Consultant) katika American Baptist International Ministries.[4] Kwa sasa anaishi Netherlands.[5]

  1. Greg Barrett (2008). The Gospel of Father Joe: Revolutions and Revelations in the Slums of Bangkok. John Wiley & Sons. uk. 270. ISBN 978-0470328033.
  2. David Roach (June 20, 2008). ["CBF focuses on prayer, women's ordination". Baptist Press. Iliwekwa mnamo February) 19, 2013. {{cite journal}}: Check |url= value (help); Check date values in: |access-date= (help)
  3. ["Baptists work internationally to assist women trapped by sex trade". Ekklesia. February 3, 2008. Iliwekwa mnamo February) 19, 2013. {{cite journal}}: Check |url= value (help); Check date values in: |access-date= (help)
  4. Andy Jayne (February 1, 2008). ["Lauran Bethell Speaks About Sexual Exploitation At The New Baptist Covenant". Worldwide Faith News. Iliwekwa mnamo February) 19, 2013. {{cite journal}}: Check |url= value (help); Check date values in: |access-date= (help)[dead link]
  5. The Register-Herald. 29 Septemba 2012 [[http://www.register-herald.com/news/life/sex-trade-lecture-planned-at-church/article_e95b2aac-1cd1-5acf-bee7-44b8eb83e04b.html. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2015. {{cite news}}: Missing or empty |title= (help); Check |url= value (help); Text "title](http://www.register-herald.com/news/life/sex-trade-lecture-planned-at-church/article_e95b2aac-1cd1-5acf-bee7-44b8eb83e04b.html" ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lauran Bethell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.