Laszlo Ubori
Mandhari
Laszlo Ubori (alizaliwa 5 Agosti 1951) ni mwanariadha wa Yugoslavia ambaye alishiriki katika mbio za kupokezana vijiti za mita 4 × 400 za wanaume katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1972. Yeye ni libing katika Subotica. Pia alikuwa sehemu ya mita 4x400 za Wanaume waliposhinda mara 3 olimpiki za Balakans. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Laszlo Ubori Olympic Results". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-18. Iliwekwa mnamo 2025-08-08.
{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Laszlo Ubori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |