Lassana Diarra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diarra kulia akiwa amesimama na Ozil.

Lassana Diarra (pia unaweza kumuita Lass; alizaliwa 10 Machi 1985) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anachezea klabu ya Paris Saint Germain F.C. (PSG) na timu ya taifa ya Ufaransa. Yeye hucheza kama kiungo mkabaji lakini pia kama beki wa kulia.

Katika kazi yake Diarra amechezea klabu ya Chelsea, Arsenal, Portsmouth na Real Madrid na sasa PSG. Mfaransa huyo pia alichezea klabu za Kirusi Anzhi Makhachkala na Lokomotiv Moscow.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lassana Diarra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.