Nenda kwa yaliyomo

Lariba Abudu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lariba Zuweira Abudu (alizaliwa 12 Mei, 1966) ni mwanasiasa wa Ghana na aliyekuwa makamu mkuu wa shirika la Northern Development Authority tangu mwaka 2018. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Walewale (Ghana parliament constituency) katika Chaguzi za Jumla za Ghana 2020. Pia amewahi kuhudumu kama Waziri wa Watoto, Wanawake, Jinsia na Ulinzi wa Jamii.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Lariba ni raia wa Janga-Fio, alizaliwa tarehe 12 Mei 1966 kwa bwana Abudu, mtaalamu wa elimu na kiongozi wa eneo la jadi la Fio.[1]

Alipata shahada yake ya kwanza (Elimu Maalum) mwaka 2004 na shahada ya uzamili (Masters) katika uongozi na maendeleo mwaka 2015.[2]

  1. "Bawumia's sister defeats former Regional Minister in Walewale". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-12-17.
  2. "President reshuffles Cabinet, 13 ministers, 10 deputies out". Ghana News Agency (kwa American English). 2024-02-14. Iliwekwa mnamo 2024-02-23.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lariba Abudu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.