Lanzhou
Mandhari

Lanzhou | |
Nchi | China |
---|---|
Jimbo | Gansu |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,310,100 |
Tovuti: www.lz.gansu.gov.cn |
Lanzhou (kwa Kichina: 兰州) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Gansu.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, kuna wakazi wapatao milioni 3.3 wanaoishi katika mji huu.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lanzhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |