Lango:Hisabati/Makala iliyochaguliwa/1
Mandhari
Namba tasa ni namba asilia isiyogawiwa kwa namba nyingine isipokuwa kwa 1 na kwa namba yenyewe.
Kunamatumizi ya namba tasa katika maisha ya kila siku kwenye namba za siri za akdi za benki au kadi za simu pia kwenye simu za mkononi. Nyumba ya namba ya siri mara nyingi ni zidisho la namba tasa mbili kubwa. Ni rahisi kuzidisha namba tasa mbili lakini ni kazi kubwa mno kugundua zao ilikuwa tokeo la namba zipi.