Langa KaXaba
Mandhari
Langa kaXaba (? – takriban 1805) alikuwa Mfalme wa taifa la Wandwandwe]]. Katika lugha za Kinguni (ni muhimu kutambua kwamba wao si Kinguni bali ni eMbo-OvaMbo), "Langa" maana yake ni "jua" au "siku" na "kaXaba" maana yake ni "mwana wa Xaba".
Alikuwa baba na mtangulizi wa Mfalme Zwide kaLanga, ambaye alikuwa mpinzani wa Mfalme Shaka kaSenzangakhona.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Zwide kaLanga
- Shaka kaSenzangakhona
- Wandwandwe
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Langa KaXaba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |