Lang'ata (Mwanga)
Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia Lang'ata (Nairobi)
Lang'ata ni kata ya Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,830 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,965 [2] walioishi humo. Kata hii Ina makabila mchanganyiko ambayo ni wapare,wagweno na wamasai ambao wamekuwepo toka Zamani lakini pia katika miaka ya having karibuni kutokana na uwepo wa shughuli za uvuvi kwenye bwawa la nyumba ya mungu,makabila mbalimbali yamehamia miongoni mwao ni wamanda(wangoni),wanyamwanga,wanyiha,wakurya,wajauo,wanyakyusa n.k.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Mwanga DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-27.
| Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kigonigoni | Kileo | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kivisini | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Mgagao | Msangeni | Mwanga | Mwaniko | Ngujini | Shighatini | Toloha | ||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lang'ata (Mwanga) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|