Nenda kwa yaliyomo

Lamborghini Sesto Elemento

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lamborghini Sesto Elemento

Lamborghini Sesto Elemento ("elementi wa sita") ni gari la utendaji wa juu la toleo maalum lililotengenezwa na Lamborghini. Lilizinduliwa kwenye Maonyesho ya Magari ya Paris mwaka 2010. Jina lake linarejelea namba atomiki ya kaboni, ikihusiana na matumizi ya nyuzi za kaboni katika ujenzi wake[1].

  1. "The Sixth Element: Lamborghini Sesto Elemento's Carbon Fiber Tech Explained". MotorTrend. 2012-08-18. Iliwekwa mnamo 2021-07-27.