Lamborghini Reventòn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lamborghini Reventòn

Lamborghini Reventón (matamshi ya Kihispania: [reβenˈton]) ni gari la michezo ambayo ilizinduliwa mwaka 2007 kwenye maonyesho ya Frankfurt Motor Show.

Ilikuwa gari ghali zaidi la Lamborghini mpaka Lamborghini Sesto Elemento ilipozinduliwa, bei ikiwa dola milioni mbili (~$1.5 , au ~ £ 840,000).